0 Kiswahili 04/02/2025 1 Min Read Mbinu za Kujifunza kwa Wavivu Maana kuwa mwerevu mvivu ni bora kuliko kufanya kazi kwa bidii bila akili. Tuwe wa kweli: si kila mtu alizaliwa kuwa mchapakazi au bingwa wa ratiba.Baadhi yetu ni wavivu wenye akili…